Skip to main content

Posts

Featured

Kuishi Vietnam

Nimeishi Vietnam kwa miaka minne, na ninapenda kuishi hapa.  Napenda vyakula cha Vietnam.  Vyakula hii ni tamu kabisa.  Kwa kawaida, mimi hukula Pho na Com Phuong.  Pho ni chakula na viazi, pili, na nyama, iko sawa na supi.  Wakati watu wanatafsiri "Com Phuong", neno hii inamanna "wali ya watu offisi".   Com Phuong ni vyakula vingi watu wa offisi wankula kila siku.  kwa mfano, wali, nyama, kachembari, na mboga. Ninapenda vyakula vingi vengene pia!  Kwa mfano, Banh Cuon, Bun Bo Hue, na Bun Bo Nam Bo.  Vyakula ziko ni tamu kabisa. Wat wa Vietnam ni poa, lakini wao wako na utamaduni tafauti kutoka Merika.  Utamdauni tafauti ni mbona Vietnam i mpale ngumu kuishi hapa.  Lakini, nimeishi hapa mpaka najua watu wengi wazuri na ninapenda kupumzika na wao.  Mtu kwa mtu ni mzuri. Kwa kweli nilishi Kenya kwa miaka mitatu kabla ya kuja Vietnam, na ninapendela maisha Kenya kaliko maisha Vietnam.  Napendela Kenya kaliko kwa sababu nilikuwa na marafiki wangi wananisiadia kuis

Latest Posts

Famalia yangu